
Mwanamuziki wa Uganda,Jose Chamilione avunjika miguuu yote miwili baada ya kuponzwa na ndoto.
Kisa kilikuwa hivi…alifikia Impala Hotel iliyopo mkoani Arusha na siku ya pili angeelekea mkoani Tanga kwaajili ya onesho la Fiesta.Kufika usiku,Chamilione alikuwa anaota huku akiwa anatembea…… kuja kustuka yupo nje tena chini,huku akiugulia maumivu.
Mwanamuziki huyo alikimbizwa hospitali haraka na asubuhi yake alipelekwa Kampala kwaajili ya matibabu.Maelezo kutoka kwa daktari ni kwamba,Chamilione amevunjika miguu yote miwili na majeraha machache aliyoyapata kutokana na kuanguka.
Habari mpaka sas ani kwamba amelazwa na anaendelea na matibabu.
angaliabongo.blogspot inamuombea heri…na aweze kupona haraka.
Related posts:
