Angalia Bongo

Sehemu ya Kuwepo!

Archive for October, 2008

this is how we do


hapa wadau wakitiririsha carsberg at home,everyday is holiday kama mnavyoona,rama emmy,ameer na fred

  • 1 Comment
  • Filed under: Angalia Bongo

  • Mwanamuziki kutoka nchini Marekani,Kat Deluna,anayetamba na wimbo wake wa ‘Run The Show’ aliomshirikisha Busta Rymes,anatarajia kutua nchini kwaajili ya tamasha la fiesta linalofanyika nchini kila mwaka chini ya redio ya watu,Clouds Fm.
    Hiyo ni ijumaa ijayo ndani ya viwanja vya Leaders pale mitaa ya Kinondoni..
    Mbali na Kat Deluna,wanamuziki mbalimbali kutoka nchini wanatarajia kuwakilisha vyema kama Dully Sykes,Wanaume TMK,Q-Chief,Mwasiti na wengine wengi.Usikose hiyo itakuwa ni fullu kujiramba.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • mwanaume kazini haina kuremba


    mheshimiwa temba akikamua kwenye fiesta jirambe hivi soon mwez wa 12 tutajiramba tena kwenye ndoa yake kiongozi wa tmk wanaume family

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • msanii ruta bushoke ambaye anendelea kufanya vyema na songi lake dunia njia amesikitishwa baada ya kuifuma album yake ikiwa inauzwa uko kanda ya ziwa wakati mwenyewe bado hajaisambaza,hapa ndo unapokuja umuhimu wa hati miliki kiukweli wasaniii wanaibiwa sana,na kwa style hii wasaniii watabaki katika hali ileile ya maisha bila kusonga mbele ilhali wanafanya kazi nzuri,pole sana bushoke

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • chukua chako mapema


    mwanadada mwenye kiuno kisicho mfupa rehema chalamila maarufu kama ray c yuko mbioni kufunga ndoa na mwana hip hop kutoka naco2naco lord eyez ndoa hiyo imepangwa kufanyika hapo december,ndoa zinaongezeka kwa upande wa wasaniii baada ya nature,inspector wengi wamo njiani kufanya ivyo pia temba kutoka kiumeni anatarajiwa kuoa mwezi december kama ilivyo kwa ray c

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • yule mkali wa freestyle kutoka kundi la chambersquard albret mangwair yuko mbioni kuachia crank katika kuitangaza vizuri album yake mpya,hii ni nyingine tena baada ya nipe deal kuendelea kufanya vyema na kumuweka ngwair kwenye chati kama ilivyo kawaida yake

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • wazee wa bata majuuu


    wadau wakiwa sehem za kujidai wakila bata kama mnavyoona meza imechafuka soon bata hili litatua bongo

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • HOSTED BY BONGODJS ENTERTAINMENT
    on Sat 1st november08@face night club reading
    rg1 7je from 10pm-3.30am entry£7 & £5 for the ladies
    all night!! come enjoy the best african tune zouk ,kwaito
    genge,bongoflava,hiplife,lingala,oldies,r&b and dancehall
    featuring the best in town djs richie, peter, eric & guest
    its a night not to be missed!! a special african night!!!
    this show is sponored by bongogear

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo

  • Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwenye maandamano ya amani wakiwa wanaelekea ofisi za Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo,Mh George Mkuchika kupinga suala la kulifungia gazeti la Mwanahalisi…..

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • Albam hazilipi-Dully Sykes!


    Mwanamuziki wa kizazi kipya,Dully Sykes,aka Mr Misifa,Handsome,amesema ya kwamba hatarajii wala kutegemea kutoa albam tena kwakuwa albam hazilipi.
    Dully aliweka bayana baada ya angaliabongo kumtwanga na swali la kwamba lini ataachia albam na kusema ya kwamba kwake misumari itakuwa ni kuachia wimbo baada ya wimbo na sio kutengeneza albam.
    “Albam hazilipi,siwezi kukaa chini na kufiki kutengeneza albam,nitakuwa naachia nyimbo zangu kama navyofanya sasa”Dully.
    Mwanamuziki huyu ameachia wimbo wake mwingine wa tatu baada ya ‘Nakupenda’.'Watasimuliwa’ na sasa ni ‘What a Gwan’,kaa tayari.

  • 0 Comments
  • Filed under: Angalia Bongo
  • About Angalia Bongo

    Hey how you doing DEAR fan! Thanks for passing By in my world...I would apreciate İf you can call me SARAH, was born in the middle of 80’s.. By proffesion a journalist and always straight with my desicions, without forgeting İ enjoy life to the fullest and always believe in Jesus, Remember İm a pure Christian.Love friends and believe to DİE with something as İ was born with NOTHİNG…İ think thats to much to know about me. Thanks for passing by xoxox..... Read More

    Have Your Say

    How Is our Website?

    View Results

    Loading ... Loading ...

    GrooveBack



    Disco bora na la kijanja nchini, pekee linalowahusisha waliokuwapo, waliopo na wanaotaka kujua kilichotokea