Archive for September, 2008

  • www.angaliabongo.co.tz

    www.angaliabongo.co.tz

    Ni sehemu ya kujiachia unavyotaka!! Nimerudi,matengenezo na vitu vngine vingi vilikwamisha kuwepo hewani kwa blog hii kwa takribani miezi sita.Sasa im back,,im back Guys and sasa nawakilisha. mapinduzi halisi yapo humu,Only fair play can be judged.watu wangu wote tulieni na muweze pata kile kitu roho...

    Full Story

  • Wayne n’ Nivea about 2 make it legal

    Wayne n’ Nivea about 2 make it legal

    Its all about Cash Money brother,Lil Wayne and the rnb singer Nivea secreatly relationship.Waamua kuweka wazi kwamba they are dating baada ya uhusiano wao kuwa ‘strong’.Habari kutoka vyanzo mbalimbali vya habari zinaelezea ya kwamba Wayne adatishwa na penzi la mrembo huyo kiasi cha kwamba haoni...

    Full Story

  • "Hazibanwi Pua"

    "Hazibanwi Pua"

    “Kawaida mkali kwanza hawezi kubana pua,hivyo ndiomaana albam ya Wakali kwanza imebeba jina la ‘Hazibanwi Pua’ kwasababu sisi ni wakali kwanza na sio utamaduni wetu kubana pua”Makamua.Albam ya Wakali Kwanza ipo kwenye hatua za mwisho baada ya kukamilika na kuingia mtaani.Akiongea na angaliabongo,Makamua alisema ni...

    Full Story

  • Is this cool for HipHop legendariez to diss the upcomings? !

    Is this cool for HipHop legendariez to diss the upcomings? !

    Hiphop Legendaries in US,Snoop Dogg,Method Man,50 Cents na Jermaine Dupri wamejitokeza na kumdiss Upcoming hiphop artist,,Soulja Boy kama ni si mwana Hiphop aliyekamilika kwani aina ya RAP anayofanya haina maana wala kubeba msg yeyote zaidi ya utoto.They continue said that hata yeye, Soulja anajua kile...

    Full Story