Mr Simple arudi kwenye gemu!


Mwanamuziki wa miondoko ya Dancehall nchini,Mr Simple,aliyewahi kutamba na nyimbo zake kama ‘Mr Simple’ na ‘Father Of Dancehall’ arudi tena kwenye gemu na kuahidi kufanya makamuzi zaidi mpaka wabongo waweze kuelewa nini maana ya dancehall.
Akiongea na angaliabongo,Mr Simple alisema anatarajia kuachia track yake itakayoitwa ‘Nimestuka’ ambayo amemshirikisha Jackline mapema baada ya mfungo kuisha.
“Nimerudi kwenye gemu na naahidi kufanya mapinduzi halisi kuhusu muziki wa dancehall ambao unaonekana kupuuziwa sana hapa Bongo”Alisema.

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. King and Queen soon redioni ya AY!
  2. Napenda Technology zaidi kwenye muziki wangu-Cpwaa.
  3. Legend back kwenye game
  4. Nani alaumiwe kwenye hili?
  5. Sirleh Arudi Upya Baada ya Kujipanga Kwa Muda Mrefu..

About the Author