Archive for September 24th, 2008

  • Salamu kutoka kwa mdau

    Salamu kutoka kwa mdau

    hellow!!!!!!!! am very happy to visit your blog its really nice all the best in your blogging, am your big visitor of your blog. Regards Japhet Charles Lupondo

    Full Story

  • Dully huyu hapa na ‘Watasimulia’

    Dully huyu hapa na ‘Watasimulia’

    Tukubali na msemo wa kwamba Dully ni mkali jamani.Wimbo wake mpya ulioachiwa jana tu unaokwenda kwa jina la ‘Watasimulia’.Pata nafasi ya kuusikiliza na utakubaliana na mimi!

    Full Story

  • Blac kwenye tuzo za Channel O

    Blac kwenye tuzo za Channel O

    Msanii wa rap nchini,Blac ni mmoja kati ya mwanamuziki aliyechaguliwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za Channel O.Wewe kama Mtanzania unatakiwa kumpa sapoti Blac kutoka nchini kwako…..mwisho wa kupiga kura ni kesho!

    Full Story

  • Anachofanya ni nini huyu?

    Anachofanya ni nini huyu?

    Mitaa flani hivi,alikutwa huyu jamaa,ebu mdau jaribu kutambua kitu alichokuwa anafanya……

    Full Story

  • 2 LATE mpya dukani kutoka kwa Cheni..

    2 LATE mpya dukani kutoka kwa Cheni..

    Akiwa na Violeth ndani ya 2 Late MSANII mahiri wa filamu nchini Muhsein Awadh ni mmoja wa waigizaji ambao kwa kiasi kikubwa wameweza kujipatia umaarufu na katika sanaa hii ya uigizaji hapa nchini.Filamu yake ya kwanza kuitunga na kuiongoza mwenyewe, ilikuwa ni ‘Why Me’, lakini...

    Full Story