Latoya,tuombe Mungu ila matumaini ya kuwepo ndnai ya Big Brother House ni madogo,kwani mpaka sasa anaongoza kwa kupigiwa kura nyingi za kutoka…Rekodi ya Mwisho na Richard ataweza kuifikisha?!
Related posts:
Latoya,tuombe Mungu ila matumaini ya kuwepo ndnai ya Big Brother House ni madogo,kwani mpaka sasa anaongoza kwa kupigiwa kura nyingi za kutoka…Rekodi ya Mwisho na Richard ataweza kuifikisha?!
Related posts:
huyu ni kicheche,hawezi lolote,atatoka wiki hii kwenda kwenye jumba chafu,kashanyea kambmi
msichana mzuri analipa
aliingia kwa makeke sana!!alijua atashinda tuu..bahati ya mtu usilalie mlango wazi dada…richard alikuwa na kingekee..mie nilivyomwona tuu huyu dada mwanzonio nikaacha kuangalia BBA..
JITAHIDINI KUMPIGIA KURA ILI ABAKI, MWAKANI TUPELEKE MWAKILISHI WAKIUME.
hahahaha
gorgeous
abaki kwanini? kwani huko kwao? we unafikiri makeke ya kuwa na Ricco halafu akachange mara Morris eti sasa karudi tena kwa Ricco lakini mara ooooo Ricco akiambiwa kitu hatekelezi kwa mahaba naye. hivi tabia ya kukurupuka inakuwaje? sina wivu wala simchukii dadanga Latoya kwanza jina lake tu ni moja ya majina ninayoyapenda…lakini tabia za kuwa TALKATIVE mmmm jamani kuweni makini. Ndiyo maana Richard alisema siku ile katika kipindi cha Jambo Afrika TBC kwamba Latoya dada yetu kafanya makosa ambayo kubaki itakuwa adimu labda mola anajua. Hata hivyo sina la kumlaumu ndiyo mambo ya tabia tofauti kama alivyosema Erick Ericksson mtaalamu wa tabia na saiklojia. Latoya umekosea sana katika BBA3 wenzako wanaigiza tu hapo hakuna maisha halisi. rudi nyumbani tulime mbaazi