Sehemu ya Kuwepo!

18 Sep
Akiwa studio akiendesha kipindi…
Ni Sophia Kessy,muendeshaji kipindi cha ‘Afrika Bambataa’ kinachorushwa katika redio ya watu,Clouds Fm.
Ameweza kupata umaarufu mkubwa kutokana na uendeshaji wake wa kipindi hiko pamoja na kuyarusha masebene ya nguvu yanayosababisha!!
Mbali na fani ya utangazaji,Sophia ni fundi mitambo hivyo anamudu sehemu mbili tofauti…Alizaliwa na kipaji cha utangazaji…jua hilo!
Ni mtu flani poa kinyume na unavyoweza kufikiria….ni Sophia Kessy!!
4 Responses for "Malkia wa ‘Afrika Bambataa’"
napenda sana kipindi chake,ni mtangazaji mzuri sana,ananirushaga na sebene,mimi nabaki hoi na agape msumari
mama sebene!mukulukulu
hongera kwa blog yako inapendeza kazi nzuri. endelea hivyo hivyo
mh dada umejaliwa sauti nzuri tamu hakika mbali nahiyo huna maringo mstaarabu na mwenye rangi ya asili mwaya usije jichubua ukawa kama migumegume ilioshindikana hongera kwakweli nakupenda hivi umeolewa??
Leave a reply