Haya ndio maisha halisi ya muafrica,,Chakula shida,wengine wanatupa,wengine wanatafuta!
Mdau,,tufanye nini ili kuweza kujikomboa kutokana na NJAA?!
Related posts:
Haya ndio maisha halisi ya muafrica,,Chakula shida,wengine wanatupa,wengine wanatafuta!
Mdau,,tufanye nini ili kuweza kujikomboa kutokana na NJAA?!
Related posts:
kwenda shule hakuna la zaidi ya hapo.
asiyefanya kazi na asile.
umenipata mrembo?
mama nicole/alvin/ian.
panki hilo,mtoto hajali,anaonekana kachoka lakini nywele so smart!
wangapi wamesoma hawajapata ajira mpaka leo smart?
September 15, 2008 9:37 AM
kwanini usomee kitu ambacho hakitokupa ajira?
nikazane kusomea usaikolijia nitamfanyia nani therapy?
tunauendekeza umaskini wenyewe, tanzania tuna malighafi ngapi? kwanini tusizitumie? mbona south afrika imeendelea?
cha msingi ni kuomba mungu kupta kazi uliyosomea,,hhuyu mtoto hana kosa,ni njaa tu,,he is smart kichwa,naona mnyoo,,,lakini afya ni mgogoro
JAMANI HUYO MTOTO ANATIA HURUMA SANA KUSOMA SIO KUKOMESHA NJAA