Archive for September 13th, 2008

  • Tunda From Bongo Star Search!

    Tunda From Bongo Star Search!

    Angeris Faber,mshiriki wa BBS ambaye yupo tayari kutuonesha kile alichonacho.Yupo mzigoni na anatarajia kuachia albam yake mapema ambapo tayari imeshakamilika.Tracks ndani ya albam hiyo ni pamoja na ‘Wewe’, ‘Mzuka’ ambacho kipo katika mahadhi ya ragga,’My Boo’, ‘Nataka sana’, ‘Stay with me’ na vingine.‘Esterange’ ndiyo jina...

    Full Story

  • Atomic Band vipi?!

    Atomic Band vipi?!

    Hongera Q-Chillah kwa kupiga hatua ya kuwa na bendi yako,wewe ni mmiliki wa bendi,lakini inakuaje tena???Atomic Band ipo wapi?mbona jina tu au kwa mtazamo wangu?!

    Full Story

  • Ally Rehmtullah to showcase at the London Fashion Week

    Ally Rehmtullah to showcase at the London Fashion Week

    One of Tanzania’s hottest designer, Ally Rehmtullah is going to be part of the London Fashion Week which is going to be held between the 14th to the 19th of September 2008 in London. It is the first time that any designer from Tanzania has...

    Full Story

  • Ndani ya daladala!

    Ndani ya daladala!

    Kama kawaida ndani ya daladala,ni ugomvi huo kati ya konda na abiria……Kero zitaisha lini?!

    Full Story

  • Kitambulisho cha Jiji la Dar-Es-Salaam

    Kitambulisho cha Jiji la Dar-Es-Salaam

    Hili ndilo sanamu la Bismin,mida ya usiku kama livavyoonekana.Kitambulisho cha jiji La Dar,kama ilivyokuwa mji wa London na ‘London Bridge’ na sisi tunawakilisha na Askari Wetu!

    Full Story

  • Mwana Fa V/S Inpekta Harun,,,

    Mwana Fa V/S Inpekta Harun,,,

    Kama kawaida ya Inspekta kujibu nyimbo za wenzake pale zinapokuwa Hit,,,sasa safari hii amemjibu Mwana Fa na track yake ya ‘Bado Nipo Nipo’Wa Inspekta unaitwa ‘Ndoa Haina Doa’…..sizungumzi mengi nawaachia wadau!!

    Full Story

  • Model Of The Week….

    Model Of The Week….

    Alikuwa Miss Tanga,Miss Kanda ya Kaskazini na balozi wa Redds,Sasa anafanya shughuli za U-model nchini Afrika ya Kusini,Ni Victoria Martin!

    Full Story

  • Rest In Peace 2pac!

    Rest In Peace 2pac!

    Leo marehemu 2Pac anatimiza miaka kumi na mbli tokea aage dunia hapo mwaka 1996,mwezi na tarehe kama ya leo!Rest In Peace!anakumbukwa na mengi ila kubwa kuliko yote ni kwamba huyu alikuwa ni mmoja kati ya Ma-Legendaryz wa Hiphop so salut kwake!

    Full Story