It was rumoured that Luda is quitin music baada ya kuona ya kwamba aina ya muziki anaoimba wa Rap unazidi kufa siku baada ya siku,si unakumbuka hata ‘Hiphop is Dead?.
Lakini mwenyewe Luda leo akiwa kwenye sherehe za zake za kutimiza miaka 33.Alipewa nafasi ya kutoa shukrani na kuamua kupasua jipu.Hivi ndivyo alivyosema.
“I never said I was retiring from Hip-Hop today,” Ludacris who celebrates his 33rd birthday today. “Music is my first love and I’m just as hungry as the day I began. The Theater of the Mind album will prove that on November 11 when it drops.”
Related posts:

