Wayne n’ Nivea about 2 make it legal

Its all about Cash Money brother,Lil Wayne and the rnb singer Nivea secreatly relationship.
Waamua kuweka wazi kwamba they are dating baada ya uhusiano wao kuwa ‘strong’.
Habari kutoka vyanzo mbalimbali vya habari zinaelezea ya kwamba Wayne adatishwa na penzi la mrembo huyo kiasi cha kwamba haoni maana ya kuficha uhusiano wao.
Kumbuka ya kwamba Lil Wayne alikuwa na uhusiano wa muda mrefu n rapa Trina lakini juzi tu walibwagana na kila mmoja kuchukua ustaarabu wake na ndipo Wayne alipoopoa kimwana Nivea!
All the best Wayne n Nivea,we gotta hear wedding bellz soon!!

Share and Enjoy:
  • Print
  • Digg
  • MySpace
  • Twitter
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Google Bookmarks
  • Reddit
  • Technorati

Related posts:

  1. Mama wa mtoto wa Lil Wayne ajulikana
  2. Nivea anatarajia mtoto na ndoa na Weezy?!
  3. Wizzle anawachanganya Nivea $ Lauren London?!
  4. Pole kwa Saigon
  5. Lil Wayne Prepares For Prison, Talks Tha Carter IV

About the Author