Sehemu ya Kuwepo!

10 Sep
Hiphop Legendaries in US,Snoop Dogg,Method Man,50 Cents na Jermaine Dupri wamejitokeza na kumdiss Upcoming hiphop artist,,Soulja Boy kama ni si mwana Hiphop aliyekamilika kwani aina ya RAP anayofanya haina maana wala kubeba msg yeyote zaidi ya utoto.
They continue said that hata yeye, Soulja anajua kile anachokifanya kama ni upuuzi na utoto mtupu kwani moja wa wimbo wake anajitusi mwenyewe baada ya kujiita ‘Nickelback’.
Soulja said nothing with this.
Here comes again,old timer raper,Ice T,diss him again.With this Soulja failed to conrol his temper so he mocked to the xtent!
“His age and what he is doing aint the same,Ice is just like my father and he cant treat me this way”Soulja tells.
Though wanamuziki mbalimbali kumdiss Soulja,Kanye West alijitokeza kumtetea Soulja na kusema ya kwamba mwanamuziki huyo mchanga ameitambulisha staili yake mpya hivyo watu wanatakiwa kumuunga mkono na si kumdiss!
Kanye always suports Upcoming Artists az he says hata yeye alipata tabu sana mpaka kufikia hapo alipo!
2 Responses for "Is this cool for HipHop legendariez to diss the upcomings? !"
yeah wakali kwanza kwanza,ebwana nakubhali kweli hazibanwi pua anyebisha ackilize kuanzia rudi njyumbani,why,nikuite nani,neema na ngoma zote za wakali kwanza utagundua kuwa hazibanwi pua,nimeikubali blog ya kijanja sana hakuna majungu ni fair play tu mjini kitambo sarplizzle ahahahhah iko safi zaidi ya suti ya bush wangu
mungu ibariki blog hiii,wajanja sogeeeni tuchangie mawazo.majungu sio issue
Leave a reply